Idrissou02
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 354
- 656
unatakiwa uzikatie bima kwanza izo gari hasa ile bima ya kucover abiria endapo majanga yatatokea namainisha thirdparty,bima watakupa insuarance cover note,baada ya hapo utatakiwa uwe na copy ya kadi za magari, mkataba wa kazi wa madereva wako kutoka wizara ya kazi, vehicle inspector report na ile copy ya cover note uliyopewa bima ukipata ivo vitu utaenda kwenye ofisi ya Latra mkoa ambapo unataka izo gari zifanye kazi kati ya mwanza au Dar unaenda kuomba njia huko kuna gharama ya kulipia ambapo utalipia kufungiwa king'amuzi (vts), utalipia njia pamoja na timetable baada ya hapo utakuwa huru kunyoosha goti Mwanza-DarHabari,
Kwa wanaofahamu, naombeni utaratibu wa kufuata nikitaka kupata kibali cha kufanya biashara ya mabasi Tanzania. Nataka nianze na mabasi 4 route ya Dar-Mwanza.
unatakiwa uzikatie bima kwanza izo gari hasa ile bima ya kucover abiria endapo majanga yatatokea namainisha thirdparty,bima watakupa insuarance cover note,baada ya hapo utatakiwa uwe na copy ya kadi za magari, mkataba wa kazi wa madereva wako kutoka wizara ya kazi, vehicle inspector report na ile copy ya cover note uliyopewa bima ukipata ivo vitu utaenda kwenye ofisi ya Latra mkoa ambapo unataka izo gari zifanye kazi kati ya mwanza au Dar unaenda kuomba njia huko kuna gharama ya kulipia ambapo utalipia kufungiwa king'amuzi (vts), utalipia njia pamoja na timetable baada ya hapo utakuwa huru kunyoosha goti Mwanza-Darnashku
Nashukuru sana, ubarikiwe.unatakiwa uzikatie bima kwanza izo gari hasa ile bima ya kucover abiria endapo majanga yatatokea namainisha thirdparty,bima watakupa insuarance cover note,baada ya hapo utatakiwa uwe na copy ya kadi za magari, mkataba wa kazi wa madereva wako kutoka wizara ya kazi, vehicle inspector report na ile copy ya cover note uliyopewa bima ukipata ivo vitu utaenda kwenye ofisi ya Latra mkoa ambapo unataka izo gari zifanye kazi kati ya mwanza au Dar unaenda kuomba njia huko kuna gharama ya kulipia ambapo utalipia kufungiwa king'amuzi (vts), utalipia njia pamoja na timetable baada ya hapo utakuwa huru kunyoosha goti Mwanza-Dar
ukiwa na shida yoyote kuhusu swala la usafirishaji unaweza kunicheki 0759399805Nashukuru sana, ubarikiwe.
Kwanini usimshauri hapa wote tupate elimhnjio pm mkuu nikufanyie.