Taratibu za kusajili daladala dar?

Taratibu za kusajili daladala dar?

Kwanza gari isizidi miaka mitano tangu itengenezwe!kwa mantiki hiyo unatakiwa uagize gari ya mwaka 2005.
 
1.unakakiwa ukate bima
2.inatakiwa drtla
3.tin
4.gharama za kuchapisha tiketi
5.kushona uniform za driver na utingo
6.kusajili njia
7.gharama za kupiga mkanda wa rangi
8.kujenga seat;kupiga bomba kwa ndani (itategemea aina ya daladala uliloagiza)
9.service ya mwanzo hasa tairi muhimu kubadili.
10.pesa ya trafic
11.sumatra
 
Mkuu hiyo no 10 imetulia.
Hivi by the way, vipanya bado vinasajiliwa jijini dar? Route zipi huwezi kusajili kipanya kwa dar?
 
Mkuu hiyo no 10 imetulia.
Hivi by the way, vipanya bado vinasajiliwa jijini dar? Route zipi huwezi kusajili kipanya kwa dar?
 
Kufanya biashara ya daladala ni lazima wewe na vijana wako (Dereva na utingo) wote muwe na akili moja.
 
Back
Top Bottom