Taratibu za kuwa insurance agent ni zipi?

Gumbu

Senior Member
Joined
Feb 24, 2017
Posts
196
Reaction score
102
Habar wana JF,
Naomba kufahamishwa taratibu za kuwa wakala wa bima.
---Kiwango cha chini cha mtaji(pesa) cha kuanzia,
---Taratibu za usajili wa biashara
---N.k
 
Habar wana JF,
Naomba kufahamishwa taratibu za kuwa wakala wa bima.
---Kiwango cha chini cha mtaji(pesa) cha kuanzia,
---Taratibu za usajili wa biashara
---N.k
Mkuu tembelea website ya taasisi hii: Tanzania Insurance Reguratory Authory (TIRA); www.tira.go.tz utapata taarifa zote juu ya taratibu na masharti ya kuwa wakala wa BIMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…