Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tembelea website ya taasisi hii: Tanzania Insurance Reguratory Authory (TIRA); www.tira.go.tz utapata taarifa zote juu ya taratibu na masharti ya kuwa wakala wa BIMAHabar wana JF,
Naomba kufahamishwa taratibu za kuwa wakala wa bima.
---Kiwango cha chini cha mtaji(pesa) cha kuanzia,
---Taratibu za usajili wa biashara
---N.k
Shukrani mkuuMkuu tembelea website ya taasisi hii: Tanzania Insurance Reguratory Authory (TIRA); www.tira.go.tz utapata taarifa zote juu ya taratibu na masharti ya kuwa wakala wa BIMA