Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjomba usithubutu kama bado unasitasita. Kenya sio kama unavyopaskia, uku watu makauzu, hawaelewi na ni wanyama kiasilia.Naomba msaada, mm nipo Tanzania nataka kwenda KENYA kwenye harakati za kusaka pesa kuangalia Kama naweza kutoboa. Sasa naomba kujua mwongozo/taratibu za kufata ili kwenda kuishi kule
Nyumban kutamu bwana Acha Tu naKaribu kama unajifahamu kuwa wewe mpambanaji usie na uzembe au wivu wivu basi Kenya utafaulu pakubwa, waulize ndugu zako haswa waliotokea kilimanjaro akina Mangi wanavyotusua Kenya, na mwezi huu wa Desemba wengi huondoka na kungozana kwenda kwao huko.