kindili kindili
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 242
- 54
Habari wanajamvi, Kwa anaejua mkopo CRDB ni vitu gani huhitajika? kwa mfanyakazi wa serikalini, maana nnapewa maelezo tofauti kila siku- niko kinondoni so ni kijitonyama branch, mwenye kusaidia hapa please.
Asanteni
ndio huko huko benki mkuu..mara ya kwanza mtu wa mikopo alisema pay inslip 6 zinahitajika ikiwemo ya mwezi wa nane (huo ulikua wa tisa) ..nimekamilisha kufika pale leo anataka na ya mwezi wa tisa ambayo mwanzo hakusema na kwangu si rahisi kuipata,ntaipata mwisho wa mwezi huu na ninahitaji huo mkopo urgent, nishausubili sana.sasa boss kama kila siku unapewa maelezo yanayotofautiana si uende tu hapo bank mara moja upate uhakika wa issue yako!!
kaulize direct mkuu......kama unataka mkopo mkubwa nenda pale premium kuna jamaa moja anaitwa isaya lymo atakusaidia sema anapenda rushwa balaa....ukichukua lazima umwachie zaidi ya asilimia 20.......natafuta watu wa pccb nimkamatishe huyu jamaa.....
Pole kama imekugusa mkuu ila mwambie siku zake PCCB zinahesabikachuki binafsi
Kaulize direct mkuu......kama unataka mkopo mkubwa nenda pale premium kuna jamaa moja anaitwa ISAYA LYMO atakusaidia sema anapenda rushwa balaa....ukichukua lazima umwachie zaidi ya asilimia 20.......natafuta watu wa PCCB nimkamatishe huyu jamaa.....
Habari wanajamvi, Kwa anaejua mkopo CRDB ni vitu gani huhitajika? kwa mfanyakazi wa serikalini, maana nnapewa maelezo tofauti kila siku- niko kinondoni so ni kijitonyama branch, mwenye kusaidia hapa please.
Asanteni
Mr----umesma comment lakin..nimekwambia nimekwenda bank na hayo majibu na maelezo nisiyoyaelewa nimepewa benki, usiwe mvivu wa kusoma kama unataka kuchangia- just kiddingUnapewa majibu tofauti na nani? Umeshaenda benki kwenyewe au ndo haya mambo yako ya kuulizia kwenye mitandao? Nenda direct kwenye benki kwenyewe idara ya mikopo watakupa maelekezo yote! Hapa mitandaoni hutapata majibu ya kuridhisha, mwishowe tutakukatisha tamaa tu!! Au unapata majibu tofauti kwa vile unaomba makopo na siyo mkopo! Aha ha ha haaaa! Just kidding!!