super nova
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 1,479
- 1,097
Habari za jioni wana jamvi, ningependa kuuliza kwa yeyote mwenye kufahamu taratibu mahsusi na hata za jumla katika uanzishwaji wa soko la kubadilisha fedha. Nistashukuru nikifahamu ni nyaraka gani zinahitajika, taratibu za usajili benki kuu na nipite wapi mpaka nifanikishe. Pia nikipata link yenye kutoa maarifa zaidi kwa muktadha wa kitanzania juu ya uanzishwaji huo nitashukuru.