Asante mkuu,majibu yanakuja moja kwa moja kwenye email yako kama umefanikiwa au ukufanikiwa.
lakini pia kwenye account yako ya nest angalia submition tender ambayo utafungua open report itakupa taarifa yako na washindani wenzako.
kama umeshinda fungua awarded tender huko utakutana na barua ya offer kwa tenda ulioshinda.
wahusika watakupigia simu kama kuna maelekezo mengine ikiwemo Bargaining ikiwa umeshinda kwa bei inayozidi celling price.
Hiyo ni tender ya aina Gani?
Jina kutokea sio ishu,je ni low bidder?
Kama ni low then umeshinda,kwenye vigezo pale kwenye tender document wameandika kama kuna process nyingine wataangalia kama uko sawa utaitwa.
Na kama hamna process yoyote after opening then umeshinda if you are lowest.
Procces za tendevhela lazima utumie mkuu,hilo halikwepeki.Asante mkuu,
Naomba Pia unieleweshe kuhusu,
1. Kuhusu tender za manunuzi,
Ndio naanza, Sina mtaji pesa, Je bank wanaweza simamia show kwa mshindi Wa tenda then malipo yapitie kwao ili wajimegee na kinachobaki nikaishinacho?
2. Notorized attorney power, hiki kipengele nacho sijakielewa vizuri.
Mengi Sana mkuu natamani kuyafahamu Ila Kila ninapogusa kuulizia naambiwa nilipie maelekezo, Sasa Sina pesa
Hii tenda haina document asee, yaan ni kuchora bei za vifaa na kusubmit.Maelezo ya hiyo tender yapo kwenye tender document.
Isome tender vizuri uielewe then ndo uiombe mkuu.
Hiyo naona ya kusuply
Sio huko,kabla hujaenda kuifanya.Hii tenda haina document asee, yaan ni kuchora bei za vifaa na kusubmit.
Kuna zile tender naziona ziko na document, hizo Sasa ndo zinanikwamisha juu ya Hizo sehemu nimeziwekea red dot kwe attachment , zinanikwamisha
Kiukweli hakuna jinsi tumia hela upate helaAsante mkuu,
Naomba Pia unieleweshe kuhusu,
1. Kuhusu tender za manunuzi,
Ndio naanza, Sina mtaji pesa, Je bank wanaweza simamia show kwa mshindi Wa tenda then malipo yapitie kwao ili wajimegee na kinachobaki nikaishinacho?
2. Notorized attorney power, hiki kipengele nacho sijakielewa vizuri.
Mengi Sana mkuu natamani kuyafahamu Ila Kila ninapogusa kuulizia naambiwa nilipie maelekezo, Sasa Sina pesa
NotedKiukweli hakuna jinsi tumia hela upate hela
Mimi mwenyewe hizi kazi za tenda ndizo zinaniweka mjini kwa kiasi fulani lakini sioni shida kumwelekeza mtu kisha vingine afanye mwenyewe.
Power of Attoney we hawa jamaa watafutie tu hela yao lakini bado pia wanatoa huduma hii kwa nafuu na wakati mwingine wanaweza kuamua kukusaidia bure kabisa si wakazaji kivile japo wakisimamia shoo wanaweza kukupiga kwa asilimia ya tenda lakini wengi hawako hivyo.
kuna kazi zingine zinahitaji bank gurantee nyingine unafanya ila uzoefu unaonyesha benki ni kazi kukukopesha moja kwa moja kwaajiri ya tenda vinginevyo unamtaji tayari na upo katika soko la bidhaa husika kwa muda mrefu lakini mwisho wa yote ni kwa jinsi gani unaweza kujenga ushawishi kwa benki husika ikiwa ni pamoja una uhakika wa biashara na kulipwa mapema.
KaribuNoted
Thank you very much
Nenda kwa wataalamu wa mambo hayo hasa walio somea ununuzi. Siku hizi kuna firm nyingi sana zinazosaidia watu au kutoa ushauri katika ununuzi.Habari,
Naomba muongozo katika Hili swala.
Baada ya kusajili local company, nikajisajili Nest, na Sasa nimekua napata invitation za tenda mbalimbali kulingana na leseni yangu.
Nimeapply tenda kama 3 ivi, na nimeona kwenye ripoti Yao Jina langu limetokea.
Hapo Sasa natamani kujua Baada ya kutoka ripoti, taratibu za kupatikana mshindi wa tenda zinakuaje, na yaweza kuchukua muda gani kutangazwa mshindi?
Pia Mwenye lolote LA kunielekeza Kuhusu hizi tenda za Nest, nahitaji kujua mengi Kuhusu.
Ahsante
Asante mkuuNenda kwa wataalamu wa mambo hayo hasa walio somea ununuzi. Siku hizi kuna firm nyingi sana zinazosaidia watu au kutoa ushauri katika ununuzi.
Si ajabu kwa issue kama yako wakakufanyia bure tu maana hakuna sehemu yoyote yenye cost implication.
ukishapigiwa simu maana yake umeshinda nenda ofisi ya PMU wakupe barua ya intention of award. pamoja na mazungumzo mengine kama yapo. kule nest wanweza kuchelewa kuweka. Zingatia haya ili uweze kupata au kushinda Tender mbalimbaliUPDATE:
Leo nimepigiwa simu muda wa saa nne asubuhi na nimeambiwa nimeshinda tender ambayo niliomba, ila Sasa toka mda huo sijaona update yeyote kwenye Mfumo (NEST)
Je, niendelee kutulia nikisubiri update za kwenye Mfumo au hatua hii na kuendelea Mfumo hauhusiki?