Pate_15
Senior Member
- Oct 26, 2013
- 156
- 48
Habari,
Naomba muongozo katika Hili swala.
Baada ya kusajili local company, nikajisajili Nest, na Sasa nimekua napata invitation za tenda mbalimbali kulingana na leseni yangu.
Nimeapply tenda kama 3 ivi, na nimeona kwenye ripoti Yao Jina langu limetokea.
Hapo Sasa natamani kujua Baada ya kutoka ripoti, taratibu za kupatikana mshindi wa tenda zinakuaje, na yaweza kuchukua muda gani kutangazwa mshindi?
Pia Mwenye lolote LA kunielekeza Kuhusu hizi tenda za Nest, nahitaji kujua mengi Kuhusu.
Ahsante