Taratibu za utumishi wa umma zinaruhusu mwalimu kufanya biashara darasani kwa wanafunzi anaowafundisha?

Acheni roho mbaya mwalimu ana familia.

Wape watoto wako Hela wasome wakiwa wameshiba.

Unalalamikia mwalimu kwa shibe ya mwanao. Unresponsible father.

Kwanza sidhani hata mia Tano inazidi kununua vi Maandazi na na maji.

Akili za kimasikini
Sawa mwenye akili za kitajiri
 
Subiri matajiri wa Jf waje,kwani mwanao hasomi Feza schools?
 
Kuna ubaya kutaka kufahamishwa sera za Elimu ikiwa Mimi ni mdau pia wa sekta hiyo ?

Hakuna ubaya Mkuu, ila hata wew kwenye sehemu yako ya riziki hua Kuna mipigo na hua una mind sana mtu akitaka kukuharibia..
Mkuu si kwamba wanaotoa majibu hapa hawaelewi unachosimamia, ila ndo tulipofikia hapa.. kama Mwalimu angekua na maslahi Mazuri angewekeza kwenye miradi Mikubwa ila ndo watumishi wanaoongoza Kwa mikopo na madeni huko kitaa.
Si kwamba huelewi.. unafaham fika unachouliza sema hoja yako imekaa KINAFIKI sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
CCM haijawapandisha walimu madaraja wala haitaki kuwapa posho unategemea nini? Waache walimu wapambanie familia zao,kwani wana hali ngumu sana.Wape watoto 200 waende nayo shule,hakuna shule bila visheti, maandazi, vibama etc
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Si rahisi kuukimbia Uzi , lengo lilikua ni kutakua kuelewa miongozo inasemaje lakini nilichogundua wote waliojibu hapo hawajui miongozo Bali wamejibu tu Kwa mihemko
Suala sio muongozo,maisha bro,hakuna mwalimu anayetaka kubeba deli la icecram ubuyu au maandazi kwenda nalo shule kuuza, mbona kwenye wizara na taasisi watu ahwaendi navyo, maokoto mzee wangu ,mwalimu hana hata semina, labda apate kanafasi ka kwenda kusahihisha mitihani, nayo kwa nadra,kwa mwaka mara moja,.

Miongozo ipo ila mazingira yanaforce watu kutokuifuata
 
Sasa Kuna shida gani ukiwapa wanao pesa wakanunua mandazi wakala

Acha mambo ya kizamani wewe
 
Sawa mkuu
 
Sawa mkuu
Dah! Niwie Radhi Mkuu kama nimekukwaza, ila ndo tulipofikia hapo. Tanzania ya Sasa kikubwa usiwe na Fujo za kuumiza tu ila kama una vurugu zinazokuwezesha kupata chochote bila kuumiza saaana wengine usiogope. Ndo tunachojifunza kutoka Kwa viongozi wetu wa ngazi za juu.
Isiwe rahisi sana kumsema Mwalimu sababu ni mnyonge na mchango wake hauthaminiki sana.. Kuna sehemu inabidi utangulize ubinadam kwanza then kanuni, taratibu na miongozo ndo ifate
Mbona sijawahi kuona umeleta Uzi unaowahusu polisi ama Wafanyakazi wa Mahakama!
 
Achana na kuwaza vya sera sijui nini wape watoto hela za maandazi mkuu. Usitafute sympathy kwetu.

Sasa wewe pima tu, kama huna mia mia za kuwapa asubuhi warudishe mpanda wakasome huko wakae na bibi yao we kaa morogoro
Akawarudishe wanawe kwa bibi yao Rukwa kule wakale makande asubuhi, pengine maandazi hajazoea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…