Nenda ofisi ya mganga mkuu wa wilaya yako,au tembelea tovuti ya baraza la pharmacy kuna maelekezo yoteNdugu zangu habari?.
Nahitaji kufungua biashara ya duka la madawa naomba kujuzwa taratibu za kufuata ili kupata kibali kutoka TFDA
Uko wapi wewe?Nenda Halmshauri/Manispaa uliyopo,ukaguzi utafanywa na ofisi za tfda za wilaya yako utapewa uthibitisho wa jengo la biashara(premise registration), ofisi ya biashara utapewa leseni ya biashara,nenda TRA peleka TIN yako au ya kampuni ufunguliwe jalada la kodi.Pia usisahau kupita bodi ya famasi.Kwa maelezo zaidi DMNdugu zangu habari?.
Nahitaji kufungua biashara ya duka la madawa naomba kujuzwa taratibu za kufuata ili kupata kibali kutoka TFDA
Asante mkuuUko wapi wewe?Nenda Halmshauri/Manispaa uliyopo,ukaguzi utafanywa na ofisi za tfda za wilaya yako utapewa uthibitisho wa jengo la biashara(premise registration), ofisi ya biashara utapewa leseni ya biashara,nenda TRA peleka TIN yako au ya kampuni ufunguliwe jalada la kodi.Pia usisahau kupita bodi ya famasi.Kwa maelezo zaidi DM
Hivi inawezekana kuhamisha kibali kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine? mfano nina duka Songea nataka nihamie Dar na hicho hicho kibali changu naweza kukitumia?Uko wapi wewe?Nenda Halmshauri/Manispaa uliyopo,ukaguzi utafanywa na ofisi za tfda za wilaya yako utapewa uthibitisho wa jengo la biashara(premise registration), ofisi ya biashara utapewa leseni ya biashara,nenda TRA peleka TIN yako au ya kampuni ufunguliwe jalada la kodi.Pia usisahau kupita bodi ya famasi.Kwa maelezo zaidi DM
Hapo itakubidi kutoa taarifa TRA uhamishwe ofisi ya kodiHivi inawezekana kuhamisha kibali kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine? mfano nina duka Songea nataka nihamie Dar na hicho hicho kibali changu naweza kukitumia?
TFDA anasajili jengo,premise registration. Biashara ya chakula au dawa lazima ifanyiwe kwenye majengo yaliyokaguliwa.Siku hizi TFDA hawahusiki ila tu mfamasia wa wilaya ni kila kitu .Muone tu utapata maelezo yote