Taratibu zikoje ili kupata kibali TFDA cha kuuza dawa?

Barn

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2017
Posts
2,734
Reaction score
4,042
Ndugu zangu habari?.

Nahitaji kufungua biashara ya duka la madawa naomba kujuzwa taratibu za kufuata ili kupata kibali kutoka TFDA
 
Nenda ofisi ya mganga mkuu wa wilaya yako,au tembelea tovuti ya baraza la pharmacy kuna maelekezo yote
 
Ndugu zangu habari?.

Nahitaji kufungua biashara ya duka la madawa naomba kujuzwa taratibu za kufuata ili kupata kibali kutoka TFDA
Uko wapi wewe?Nenda Halmshauri/Manispaa uliyopo,ukaguzi utafanywa na ofisi za tfda za wilaya yako utapewa uthibitisho wa jengo la biashara(premise registration), ofisi ya biashara utapewa leseni ya biashara,nenda TRA peleka TIN yako au ya kampuni ufunguliwe jalada la kodi.Pia usisahau kupita bodi ya famasi.Kwa maelezo zaidi DM
 
Usisahau kupita kwa maafisa afya..ila ukaguliwe jengo lako na mahali husika kama kunakizi vigezo vya kiafya.
 
Siku hizi TFDA hawahusiki ila tu mfamasia wa wilaya ni kila kitu .Muone tu utapata maelezo yote
 
Uko wapi wewe?Nenda Halmshauri/Manispaa uliyopo,ukaguzi utafanywa na ofisi za tfda za wilaya yako utapewa uthibitisho wa jengo la biashara(premise registration), ofisi ya biashara utapewa leseni ya biashara,nenda TRA peleka TIN yako au ya kampuni ufunguliwe jalada la kodi.Pia usisahau kupita bodi ya famasi.Kwa maelezo zaidi DM
Asante mkuu
 
Hivi inawezekana kuhamisha kibali kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine? mfano nina duka Songea nataka nihamie Dar na hicho hicho kibali changu naweza kukitumia?
 
Siku hizi TFDA hawahusiki ila tu mfamasia wa wilaya ni kila kitu .Muone tu utapata maelezo yote
TFDA anasajili jengo,premise registration. Biashara ya chakula au dawa lazima ifanyiwe kwenye majengo yaliyokaguliwa.
 
Back
Top Bottom