Tarehe 02.10 tena frm HESLB TO WIZARAN MPAKA KIELEWEKE

SAMAZ

Member
Joined
Oct 1, 2013
Posts
16
Reaction score
11
Vijana tukutane palepale heslb saa 4,tuelekee wizaran taratibu
 
Pga mishe 2ko weng waliokosa,hao jamaa washakula ela yangu mingi xna afu cpati kitu
 
2naomba m2juze cc wa mikoan watakavyoxema mkuu,
 
wakubwa mbona hamjatujuza kilichoendelea huko wizarani sisi tuko mikoani.
 
Tumekutana na msemaji akasema wenzetu walituwakilisha jana,hivyo ijumaa ndo tamko rasmi litatolewa,tuckubali mpaka kieleweke,otherwise ndo utakuwa mchezo wao huu
 
Hapa zege hailali bila ivo 2tazid kuonewa kila cku.
 
Thanks makomando kama wanataka tujiunge na al shabab waseme
 
wakuu, tumepitia huko kakuna la msingi mtakalopata zaidi ya siasa au kuwaambia muappeal, la msingi hudhurieni lakini pia angalieni nyanja nyengine zitakazoweza wasaidia nanyi kupata ada, nimepitia huko na sasa namaliza chuo ni ngumu ila ndo halihalisi, yahitaji uvumilivu ndo nchi yetu hiyo wakuu.
 
Ngoma isambe iyo hakuna kulala
Mpk kieleweke
Aiwezekan pple nyom kiac hiki we ar
Not secure
Its impossible?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…