Tumekutana na msemaji akasema wenzetu walituwakilisha jana,hivyo ijumaa ndo tamko rasmi litatolewa,tuckubali mpaka kieleweke,otherwise ndo utakuwa mchezo wao huu
wakuu, tumepitia huko kakuna la msingi mtakalopata zaidi ya siasa au kuwaambia muappeal, la msingi hudhurieni lakini pia angalieni nyanja nyengine zitakazoweza wasaidia nanyi kupata ada, nimepitia huko na sasa namaliza chuo ni ngumu ila ndo halihalisi, yahitaji uvumilivu ndo nchi yetu hiyo wakuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.