Masaa 72 hayatoshi banaNdio hivyo wakuu nimesema kwamba hio tarehe tajwa hapo juu ikitokea Simba Sc akamfunga Al Masry goli hata 1 tu ndio namaanisha goli hata 1 tu yaan hata mechi ikiisha 1-1 Mods nipigwe ban ya muda mrefu usuopungua siku 3.
Kifupi tu tarehe tajwa hapo juu Simba Sc hatofunga hata goli 1 namaanisha hatofunga hata goli 1 ila atafungwa goli 1 na mchezo utaisha 0-1, naomba nieleweke huu sio ubashiri wala utabiri ila ni kile ninachokiona.
Simba Sc ponapona yao ili wasipate kipigo cha nyumbani basi inabidi wafanye km walivyofanya kwa Yanga yaan wagomee kwenda uwanjani maana wanaenda kufungwa kinyume na hapo ubao utasomeka km hivi 0-1.
Hakuna goli linalouma km Simba Sc 0-1 Al Masry.
Ni mimi zerominus10 nimesema.
Nakala : Kalpana Greatest Of All Time OKW BOBAN SUNZU
Uzi ubakie hapa Mods msifute huu uzi.
π π€£ mkuu nimesema usupunguze siku 3 nipigwe ban vyovyote tu ila Simba hapati hata goli 1 kwa Al Masry hata la kupewa hapatiAu Upigwe ban kila linapoonekana Jina lako au email zako za Kujiunga su kifaa cha kujiunga kikifanana na Simu yako kipigwe ban..
π€£π€£
Ameomba ban ya siku 3Life Ban Au Unataka Ipi?
Au Upigwe ban kila linapoonekana Jina lako au email zako za Kujiunga su kifaa cha kujiunga kikifanana na Simu yako kipigwe ban..
π€£π€£
Kwa hio mkuu unataka kusemaje hapo? Ban ya muda mrefu si mesema usuopungua siku 3 yaan masaa 72 hujaelewa nini hapo sasa?Mods wana uchoko fulani hivi wa ajabu.
Unakuta mtu anaomba ban ya maisha, ila anafungwa siku moja, siku ya pili tunamuona.
Ila watu wasiokuwa na hatia unakuta wanapewa life ban au ban ya miezi.
Hii siyo haki
AG 4_2 mwarabu out5imba atatoa sare
1_1
Omba basi banBan ya uoga hii π
Mimi ni Simba lakini tutafungwa
π π€£ kipigo kipo pale pale na goli hamuambulii hata 1 aibu nyingine hii haki ya nani suluhu hapo ni kukimbia mechi tu na kusema uwanja umepulizwa vitu vyumbani kumbe mnaogopa kipigoBan ya uoga hii π
Mimi ni Simba lakini tutafungwa
Sijasema wewe mkuu.Kwa hio mkuu unataka kusemaje hapo? Ban ya muda mrefu si mesema usuopungua siku 3 yaan masaa 72 hujaelewa nini hapo sasa?
Mimi nakazia ban ya zerominus10Omba basi ban
pessimistic thoughtsBan ya uoga hii π
Mimi ni Simba lakini tutafungwa
Kwa hio na wewe unaamini kwamba mtafungwa au mtafunga ili nipigwe ban?Mimi nakazia ban ya zerominus10