😄 🤣 kipigo kipo pale pale na goli hamuambulii hata 1 aibu nyingine hii haki ya nani suluhu hapo ni kukimbia mechi tu na kusema uwanja umepulizwa vitu vyumbani kumbe mnaogopa kipigo
weka akiba ya manenoAaawee nani kasema hakuna kitu km hicho kuna mtu atakandwa kwa Nkapa pale mpaka watu wanang'oa nyasi we subiria
Wewe ban hautapata kwasababu simba itafungwaKwa hio na wewe unaamini kwamba mtafungwa au mtafunga ili nipigwe ban?
Bao moja ni chache. Mimi nasema hiviii kwa simba hii asipofungwa bao tatu bila hapo tarehe 9, nipigwe ban ya milele.Ndio hivyo wakuu nimesema kwamba hio tarehe tajwa hapo juu ikitokea Simba Sc akamfunga Al Masry goli hata 1 tu ndio namaanisha goli hata 1 tu yaan hata mechi ikiisha 1-1 Mods nipigwe ban ya muda mrefu usuopungua siku 3.
Kifupi tu tarehe tajwa hapo juu Simba Sc hatofunga hata goli 1 namaanisha hatofunga hata goli 1 ila atafungwa goli 1 na mchezo utaisha 0-1, naomba nieleweke huu sio ubashiri wala utabiri ila ni kile ninachokiona.
Simba Sc ponapona yao ili wasipate kipigo cha nyumbani basi inabidi wafanye km walivyofanya kwa Yanga yaan wagomee kwenda uwanjani maana wanaenda kufungwa kinyume na hapo ubao utasomeka km hivi 0-1.
Hakuna goli linalouma km Simba Sc 0-1 Al Masry.
Ni mimi zerominus10 nimesema.
Nakala : Kalpana Greatest Of All Time OKW BOBAN SUNZU
Uzi ubakie hapa Mods msifute huu uzi.
Ngoja Nakuja na Uchambuzi wangu na NitakutagMuda mrefu mkuu usupunguze siku 3 ila muda mrefu lakini Simba Sc hata goli 1 hapati hio tarehe 9 mimi nitakua hapa mtasema nilisema
Kipigo Kwa Nan?Hakuna draw mechi inaisha kwa kipigo
Wewe unasema 0-3 ila mimi najua waarabu hapa wamekuja kufunga goli 1 tu yaan wakifunga tu wanaanza kulala mpaka mpira unaisha hio mbwinu najua mnaijuaBao moja ni chache. Mimi nasema hiviii kwa simba hii asipofungwa bao tatu bila hapo tarehe 9, nipigwe ban ya milele.
Kama mods wakisahau, tafadhali wakumbusheni siku hiyo.
Sawa 😃😃Mpaka tarehe 9 hio risiti akae nayo na yakitimia msije mkasema sikusema