Tarehe 09.04.2025 ikitokea Simba Sc amemfunga Al Masry Mods naomba nipigwe Ban ya Muda mrefu sana isiyopungua siku 3

πŸ˜„ 🀣 kipigo kipo pale pale na goli hamuambulii hata 1 aibu nyingine hii haki ya nani suluhu hapo ni kukimbia mechi tu na kusema uwanja umepulizwa vitu vyumbani kumbe mnaogopa kipigo

Kipigo ni un-kwepable πŸ˜€
 
Wewe ban hautapata kwasababu simba itafungwa
Kumbe mwenyewe shabiki wa Simba unalijua hilo kua kinachofuata hapa ni kipigo kingine basi mimi ni nani nikupinge?
 
Bao moja ni chache. Mimi nasema hiviii kwa simba hii asipofungwa bao tatu bila hapo tarehe 9, nipigwe ban ya milele.
Kama mods wakisahau, tafadhali wakumbusheni siku hiyo.
 
Bao moja ni chache. Mimi nasema hiviii kwa simba hii asipofungwa bao tatu bila hapo tarehe 9, nipigwe ban ya milele.
Kama mods wakisahau, tafadhali wakumbusheni siku hiyo.
Wewe unasema 0-3 ila mimi najua waarabu hapa wamekuja kufunga goli 1 tu yaan wakifunga tu wanaanza kulala mpaka mpira unaisha hio mbwinu najua mnaijua
 
Ngoja Nakuja na Uchambuzi wangu na Nitakutag
Sawa nasubiria uchambuzi wako Mchambuzi tuone utachambuaje hio mechi ila Simba anapigwa goli 1 hio ukumbuke na hafungi hata goli 1 hata akipewa penalty hatofunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…