Tarehe 09.04.2025 ikitokea Simba Sc amemfunga Al Masry Mods naomba nipigwe Ban ya Muda mrefu sana isiyopungua siku 3

Usiseme hivyo sema kuwa Al Masry akishinda ufungiwe kabsa kutumia I'd yako milele!
 
Simba Goli anaweza pata kwa mwarabu Yule , kipengele ni yeye anaweza zuia asifungwe tenah wakicheza usiku Simba anatoboka vzr
 
Watanzania wengi hamjui mpira nilitamani Masri iwe Timu nzuri iwatoe Simba ila kwa mechi yao ya kwanza wamecheza kipapatu papatu tu wamepata magoli hata wao wanashangaa mechi ya ugenini wanafungwa ila idadi ya magoli ndio itaamua nani apite Misri hakuna ligi bora ile ndio Timu ya pili kwenye ligi kiungo wao anabutua..tulikua tunadanganywa sana aisee
 
Hawachelewi kukimbia na kutoa sababu zisizokuwa za msingi.
 
Ya pili wapi? Ya 4...
 
Crap
 
Ban ya uoga hii 😂
Mimi ni Simba lakini tutafungwa
Mimi ni Yanga , uto lia lia, nadhani simba itashinda, niliona dkk za mwisho mechi ya kwanza Al Masry walipoteana simba ikashindwa kupata goli. Hili ni kombe la loosers aka kombe la single mothers, timu zote mdebwedo, yani niliona Al Masry ni timu dhaifu walipofunga goli la pili la kubahatisha walishangilia sana. Hakika shirikisho ni ligi ya vibonde!! Yaani ukicheki klabu bingwa ukija shirikisho unaona uko kwenye mazoezi!
Simba dhaifu Haina sababu kushindwa kumfunga kibonde mwenzao Al Masry kwenye mashindano kugombea kombe la wamama!
 
Al Masry wakija hapa watakushangaza na utajiuliza hii ndio ile Simba niliyokua naijua mimi au ni nyingine hii ndio Simba iliyokimbia kucheza na Yanga ikasingizia imezuiwa kuingia uwanjani ikasusa kucheza kumbe imekimbia kipigo imeogopa kukandwa sasa hii mechi na Al Masry wakaongee vizuri na Wallace Karia na wale wakina Mguto na Almasi Kasongo jinsi gani watakimbia kucheza hii mechi watumie kisingizio gani ili wasicheze na Al Masry hio tarehe 9 au labda washushee mvua ijaze maji uwanjani ili mechi isichezwe ila Al Masry wanakuja kuwakanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…