Tarehe 09.04.2025 ikitokea Simba Sc amemfunga Al Masry Mods naomba nipigwe Ban ya Muda mrefu sana isiyopungua siku 3

fulltime simba4 almasry1. simba next level
 
Kwa kuwa inaonekana una uhakika na ubashiri/utabiri wako badala ya ban ya siku 3 weka miaka 3 kabisa.
 
Ndugu yangu wale. Waarabu hamna timu.....kama tungekua yanga walikua wanakufa 4 pale kwao
 
Haupo serious na hilo ombi la ban ya siku 3...

Ungekuwa serious ungeahidi kumtoa demu wako kwa mzabzab πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wachezaji wa simba wako kizamani bado hucheza na jukwaa, hivyo tarehe 9 itakuwa timu kali. Simba hofu yao ni moja tu Yanga ambayo wameahidi kuikimbia kwa miaka mitano kila derby ikifika ni kutafuta kisingizio na kutimka
 
Subiria tarehe 9 ifike
 
Hahahaaa. Mods hamcheki na mtu. Lol

Ameomba ban mshampa. Teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…