Tarehe 15, Pwenti 15. Embu ngoja kwanza n'cheke!

Tarehe 15, Pwenti 15. Embu ngoja kwanza n'cheke!

DELETED ACCOUNT

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
9,805
Reaction score
15,476
Kuna watu baada ya kununua mechi fulani walikuwa wanazodoa wenzao kwa kusema tarehe 5 goli 5.

Ghafla bila kutarajia, Ubaya Ubwela umefanya kazi yake, na karma imewarudia.

Tarehe 15 wanaenda kupokwa pwenti 15 na Mwalimu wangu wa Math alinifundisha 15 ni kubwa kuliko 5.
 
bongo hakuna walimu wa hesabu,hatuwezi kukuamini kama unajua kweli hesabu
 
Leo Bodi inataka kujua nani yupo nyuma ya hivi vikelele maana vyura wamejificha kwenye chaka la machawa, wachaaambuzi na mashabiki maandazi.

Bodi wanataka kujua ni viongozi gani wa uto wako tayari kujivika hayo mabomu ili rungu likija wajue wanaanza na nani.
 
Leo Bodi inataka kujua nani yupo nyuma ya hivi vikelele maana vyura wamejificha kwenye chaka la machawa, machaaambuzi na mashabiki maandazi.

Bodi wanataka kujua ni viongozi gani wa uto wako tayari kujivika hayo mabomu ili rungu likija waje wanaanza na nani.
Haitaki kujua nani slifuta ule mchezo na alitumia kanuni zipi?

Haitaki kujua ripoti ya kiuchunguzi imefika wapi?

Haitaki kujua gharama za wale walio pata hasara siku ile zitafidiwa na nani?

Wanajua kushusha rungu tu?
 
Hayo yote hayazuii mechi kupangwa upya na kufanyika. Hakuna time limit ya uchunguzi hasa kama inahusisha masuala mazito.
 
Chadema acheni fujo, tuacheni tujadili soka wenzenu. Tukihitaji siasa tutaenda jukwaa la siasa.
 
Back
Top Bottom