DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Acha basi 🤣😂🤣huyo ni mwalimu wa hesabu 😀😀😀 na mwanafunzi wake kwenye 1 na 2
bongo hakuna walimu wa hesabu,hatuwezi kukuamini kama unajua kweli hesabuKuna watu baada ya kununua mechi fulani walikuwa wanazodoa wenzao kwa kusema tarehe 5 goli 5.
Ghafla bila kutarajia, Ubaya Ubwela umefanya kazi yake, na karma imewarudia.
Tarehe 15 wanaenda kupokwa pwenti 15 na Mwalimu wangu wa Math alinifundisha 15 ni kubwa kuliko 5.
Daah!bongo hakuna walimu wa hesabu,hatuwezi kukuamini kama unajua kweli hesabu
uMkhonto we Sizwe!#HATUCHEZI NG'OO
#NO REFORMS NO ELECTION.
#FREE TUNDU LISSU. ✌️
Haitaki kujua nani slifuta ule mchezo na alitumia kanuni zipi?Leo Bodi inataka kujua nani yupo nyuma ya hivi vikelele maana vyura wamejificha kwenye chaka la machawa, machaaambuzi na mashabiki maandazi.
Bodi wanataka kujua ni viongozi gani wa uto wako tayari kujivika hayo mabomu ili rungu likija waje wanaanza na nani.
Hayo yote hayazuii mechi kupangwa upya na kufanyika. Hakuna time limit ya uchunguzi hasa kama inahusisha masuala mazito.Haitaki kujua nani slifuta ule mchezo na alitumia kanuni zipi?
Haitaki kujua ripoti ya kiuchunguzi imefika wapi?
Haitaki kujua gharama za wale walio pata hasara siku ile zitafidiwa na nani?
Wanajua kushusha rungu tu?