Tarehe 17/11/22 nitaongoza Ibada ya kuombea mvua. Wote mnakaribishwa

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
20,654
Reaction score
35,887
Heshima kwenu wanajamvi.

Mimi Ngongo pamoja na Katibu wangu tarehe 17/11/2022 nitaongoza Ibada ya maombezi kuombea mvua inyeshe sehemu kubwa ya JMT.

Hapatakuwa na sadaka ya kuteketezwa wala sadaka kama zile za Mwamposa, Kakobe, Mzee wa Upako aka Bapa.

Baada ya maombezi mazito natarajia tarehe 18/11//2022 majibu mtayaona wenyewe.

Ngongo kwasasa ktk maandalizi mazito ya kuombea mvua.
 
Mamlaka ya hali ya hewa ilishatoa utabili kuwa mvua zitaanza mwisho wa mwezi november yani wiki ya pili..sasa hizo ramli chonganishi za maombezi muwe mnazifanya mwezi wa 7 kipindi cha kiangazi kama kweli mna Mungu.

Huwezi ombea mvua msimu wa mvua huo ni uzuzu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Tutakusomea kisomo ukitembea badala ya kwenda mbele unarejea nyuma.
 
Ngongo mkongwe wa Jf enzi hizo Jf ni sehemu ya great thinker hasa!!
Habar za miaka tele mkuu
 
Nipo Mkuu wangu nimeanzisha taasisi yangu najaribu kufurukuta na mimi nitoke.

Mvua ikinyesha hiyo tarehe 18/11/2022 naweza kumzidi umaarufu Mwamba Majaliwa Jackson.
 
[emoji1787][emoji1787]kila la kheri mkuu
 
Umeshasoma alama za nyakati umeona dalili ya mvua, huku mkata mvua zimeshaanza zinanyesha sana
 
Sawa mkuu tutafika tuje na fire extinguishers au?
maana Mount Kilimanjaro si unajua Moto nje nje mda wowote kunawaka

Mbona Nyerere aliupandisha Mwenge kile cha Mlima Kilimanjaro hamkupeleka fire extinguisher !.
 
Heshima kwenu wanajamvi.

Mimi Ngongo pamoja na Katibu wangu tarehe 17/11/2022 nitaongoza Ibada ya maombezi kuombea mvua inyeshe sehemu kubwa ya JMT.

Hapatakuwa na sadaka ya kuteketezwa wala sadaka kama zile za Mwamposa, Kakobe, Mzee wa Upako aka Bapa.

Baada ya maombezi mazito natarajia tarehe 18/11//2022 majibu mtayaona wenyewe.

Ngongo kwasasa ktk maandalizi mazito ya kuombea mvua.
Tapeli mmeanza , fursa kwa wajinga wenu. Nenda kaombe Ocean road hospital ambapo kuna ushahidi watu ni wagonjwa wapone. Kuna utabiri wa hali ya hewa kuwa this week particulaly on weekend mvua zitanyesha. Mwanza, Bukoba, Muheza etc zinanyesha kweli kweli. Sasa wewe unataka ku bank on that halafu useme umeomba mvua imenyesha.
 
Heshima kwenu wanajamvi.

Mimi Ngongo pamoja na Katibu wangu tarehe 17/11/2022 nitaongoza Ibada ya maombezi kuombea mvua inyeshe sehemu kubwa ya JMT.

Hapatakuwa na sadaka ya kuteketezwa wala sadaka kama zile za Mwamposa, Kakobe, Mzee wa Upako aka Bapa.

Baada ya maombezi mazito natarajia tarehe 18/11//2022 majibu mtayaona wenyewe.

Ngongo kwasasa ktk maandalizi mazito ya kuombea mvua.
Tunakuombea afya njema ya kichwa
 
Back
Top Bottom