Mamlaka ya hali ya hewa ilishatoa utabili kuwa mvua zitaanza mwisho wa mwezi november yani wiki ya pili..sasa hizo ramli chonganishi za maombezi muwe mnazifanya mwezi wa 7 kipindi cha kiangazi kama kweli mna Mungu.
Huwezi ombea mvua msimu wa mvua huo ni uzuzu.
#MaendeleoHayanaChama
[emoji1787][emoji1787]kila la kheri mkuuNipo Mkuu wangu nimeanzisha taasisi yangu najaribu kufurukuta na mimi nitoke.
Mvua ikinyesha hiyo tarehe 18/11/2022 naweza kumzidi umaarufu Mwamba Majaliwa Jackson.
maana Mount Kilimanjaro si unajua Moto nje nje mda wowote kunawakaKilele cha Mt Kilimanjaro.
Heheeee..mbona mange kimambi anadunda kitaa.Tutakusomea kisomo ukitembea badala ya kwenda mbele unarejea nyuma.
Tapeli mmeanza , fursa kwa wajinga wenu. Nenda kaombe Ocean road hospital ambapo kuna ushahidi watu ni wagonjwa wapone. Kuna utabiri wa hali ya hewa kuwa this week particulaly on weekend mvua zitanyesha. Mwanza, Bukoba, Muheza etc zinanyesha kweli kweli. Sasa wewe unataka ku bank on that halafu useme umeomba mvua imenyesha.Heshima kwenu wanajamvi.
Mimi Ngongo pamoja na Katibu wangu tarehe 17/11/2022 nitaongoza Ibada ya maombezi kuombea mvua inyeshe sehemu kubwa ya JMT.
Hapatakuwa na sadaka ya kuteketezwa wala sadaka kama zile za Mwamposa, Kakobe, Mzee wa Upako aka Bapa.
Baada ya maombezi mazito natarajia tarehe 18/11//2022 majibu mtayaona wenyewe.
Ngongo kwasasa ktk maandalizi mazito ya kuombea mvua.
Tunakuombea afya njema ya kichwaHeshima kwenu wanajamvi.