Tarehe 17.3.2025 inakaribia, watanzanisa tunasubiri kauli ya serikali kuhusu mpendwa wetu,

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Watanzania tulio wengi mamia kwa maelefu tunasubiri kauli ya serikali kuhusu nini kifanyike tar 17.3.2022 atakuwa katimiza mwaka mmoja tangu tuondokewe na mpendwa wetu Magufuli

Ikiwezekana tuazimishe siku hiyo kwa mapumziko na tuazimishe kwa kuwa kuwatembelea wamachinga na kuwajengea uwezo wasiojiweza na kuwasaidia ikiwa ni pamoja na kufanya ibada ya dini zote
 
Wapi? Lini?

Wameamua kumpotezea kabisa Jiwe. Wamefanya juhudi kweli awe irrelevant, naona wanafaulu. Ukiachana na machinga, sijui ni sekta gani inayomkumbuka Magu.
Sekta ya madini umesahau? Ila delila mungu anamuona
 
Watanzania tulio wengi mamia kwa maelefu tunasubiri kauli ya serikali kuhusu nini kifanyike tar 17.3.2025 kuhudmsu kutimiza mwaka mmoja tangu tuondokewe na mpendwa wetu Magufuli

Ikiwezekana tuazimishe siku hiyo kwa mapumziko na tuazimishe kwa kuwa kuwatembelea wamachinga na kuwajengea uwezo wasiojiweza na kuwasaidia ikiwa ni pamoja na kufanya ibada ya dini zote

kwa mtindo huo ikifika 2100 kuanzia januari mpaka disemba kila tarehee itakuwa siku ya kuazimisha
 
Watanzania tulio wengi mamia kwa maelefu tunasubiri kauli ya serikali kuhusu nini kifanyike tar 17.3.2025 kuhudmsu kutimiza mwaka mmoja tangu tuondokewe na mpendwa wetu Magufuli

Ikiwezekana tuazimishe siku hiyo kwa mapumziko na tuazimishe kwa kuwa kuwatembelea wamachinga na kuwajengea uwezo wasiojiweza na kuwasaidia ikiwa ni pamoja na kufanya ibada ya dini zote
17.3.2025 ndio atakuwa amefikisha mwaka mmoja aisee we jamaa unaandika kama wewe unaelimu ya kisukule hivi sijui kama umeona ulichoandika aisee
 
Back
Top Bottom