peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Yule aliyetulitea muungano umemsamehe? Au umemsahau?Takataka wewe.....
Tumkumbuke dikteta aliyeharibu nchi yetu nzuri🤔🤔
Ila itamgharimu.Serikali imefocus kwenye mwaka 1 wa kuingia Mama, sio mwaka 1 wa kuondoka Magu.
Hiyo ndio habari
Wapi? Lini?Ila itamgharimu.
Sekta ya madini umesahau? Ila delila mungu anamuonaWapi? Lini?
Wameamua kumpotezea kabisa Jiwe. Wamefanya juhudi kweli awe irrelevant, naona wanafaulu. Ukiachana na machinga, sijui ni sekta gani inayomkumbuka Magu.
Ukweli pia ni kuwa serikali ya Magu iliishi kwa uongo mwingi.... ndio walituambia SGR ingeanza kazi 2019Sekta ya madini umesahau? Ila delila mungu anamuona
Watanzania tulio wengi mamia kwa maelefu tunasubiri kauli ya serikali kuhusu nini kifanyike tar 17.3.2025 kuhudmsu kutimiza mwaka mmoja tangu tuondokewe na mpendwa wetu Magufuli
Ikiwezekana tuazimishe siku hiyo kwa mapumziko na tuazimishe kwa kuwa kuwatembelea wamachinga na kuwajengea uwezo wasiojiweza na kuwasaidia ikiwa ni pamoja na kufanya ibada ya dini zote
17.3.2025 ndio atakuwa amefikisha mwaka mmoja aisee we jamaa unaandika kama wewe unaelimu ya kisukule hivi sijui kama umeona ulichoandika aiseeWatanzania tulio wengi mamia kwa maelefu tunasubiri kauli ya serikali kuhusu nini kifanyike tar 17.3.2025 kuhudmsu kutimiza mwaka mmoja tangu tuondokewe na mpendwa wetu Magufuli
Ikiwezekana tuazimishe siku hiyo kwa mapumziko na tuazimishe kwa kuwa kuwatembelea wamachinga na kuwajengea uwezo wasiojiweza na kuwasaidia ikiwa ni pamoja na kufanya ibada ya dini zote