Tarehe 17 kunani kwani, naona Giza siku hiyo

Tabiri za kichawi nyingi mno mpaka mnakaribia kututetelesha imani
 
Kunakikao cha kutafuna majani yenye rangi ya kijani yote nchini tubakishe majani makavu pekee.
 
Labda dira yako imepiga saa 9 za usiku, ipe muda ikifika asubuhi utauona mwanga
 
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Giza kubwa sana siku hiyo

SAYUNI BOY
Kum la mam yako fanya kazi mseng wewe yesu yesu nyie wavivu ndo mana nchi Aiendelei
Miujiza unapend kuliko kufanya kazi mnawadanya wake zetu kila siku
 
Bwana aliharakishe anguko lao, alifanye kuwa anguko kuu na kishindo chake kisikike na walio mbali.
Amen.
 
Ndio siku kiongoz mmoja atatwaliwa na bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…