Tarehe 17 Machi huku wakifanya sherehe za kumbukizi za kifo cha Magufuli, sisi wengine tutafanya sherehe za shukrani kwa uongozi wa Samia Suluhu

Kaka profile picha Yako imenichekesha sanaa
 
Acheni kuhadaa watanzania. Magufuli hakuwa mpinga rushwa kwa vitendo. Kwa mfano, wanasiasa walioahamia CCM kutoka upinzani waliipewa nini au mnafiki watu hawajui?

Na je,hata rushwa ya vyeo haikuwepo?

Endeleeni na propaganda zenu kwakuwa mmeshika dola ila ipo siku madudu yake yatawekwa hadharani.
 
Ujumbe mzito sana!

Tanzania kuwapata viongozi wasiokula rushwa ni vigumu sana hata kule upinzani!

Ila viongozi wanaokumbatia rushwa wamejazana mno hasa upinzani!

Umesema kweli kabisa…tuendelee kuomba Mungu apatikane mwamba mwingine anaependa nchi kuliko pesa…km Nyerere na JPM….

Akitokea kiongozi huyo apewe miaka 20 maana kajitoa sadaka…. roho yake iheshimiwe
 
Tz asiye penda rushwa ni yule tu ambaye hayupo kwenye nafasi ya kupata rushwa Iyo ila na yeye akipata nafasi hawezi ikataaa

Umaskini ni mbaya sana
Mimi Siri rushwa ila niliwai toa rushwa in another way sio live corruption broo!
 
Hakuna rushwa ya vyeo hizo ni siasa.
 
Kabisa, yaani kumbukizi ya mtu aliyetaka kupeleka uchumi Zimbabwe,mtu katili na muuaji,mtu mjivuni na mroho wa madaraka,muongo na asiyejali wengike.

Hawa hawako serious.Tulikuwa tunaambiwa hakuna ajira kwa sababu pesa zinaenda kwenye miradi,mbona hadi sasa miradi inafanyika na ajira zinatoka,pesa ilikuwa inaenda wapi?
 
kaka, kanisani anakwenda siku za sikukuu tu hapo ndipo ugumu unapoanzia.
 
Yote kwa yote bora jini lili limekufa aisee
 
Umeongea vizuri sana kiongozi wangu ila tatizo la Nchi hii lipo kwenye akili zetu wenyewe, ubinafsi na Elimu mbovu tulionayo.

Kubadilisha hayo tuanze kubadilisha mifumo na Elimu yetu, vinginevyo wewe ukianzisha atakuja mwingine kufuta tena kwa kejeli.
 
Majambazi wanafurahia kifo cha magufuli ila alijua kuwakomesha wajanja wajanja kama hawa wa kwenye uzi ila hakuna raisi alietupa matatizo kama kikwete zile hela walizogawana kwenye bahasha na kiroba zingetumika vizuri tungekuwa mbali sana TANZANIA ina vibubusa sana.
 
Makonda aonekana chato kwenye kumbukizi ya ndugu yake aliyempa maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…