TAREHE 17/03/2020
Tanzani ilitangaza rasmi kuvamiwa na janga la korona na taasisi zote za elimu kufungwa na hatua mbalimbali za tahadhari zikatolewa.
TAREHE 17/02/2021
Kifo cha makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar Hayati Maalim Seif Shariff Hamadi. (RIP)
TAREHE 17/02/2021
Kifo cha Katibu mkuu Kiongozi Hayati Kijazi (RIP)
TAREHE 17/03/21
Kifo cha Rais wa Tanzania Hayati Dakta John Pombe Magufuli (RIP)