Tarehe 18/12/2019 Masasi umeme wawaka 24 hours

Tarehe 18/12/2019 Masasi umeme wawaka 24 hours

Hizi nia habari njema..kwa sisi wananchibwa masasi..ila iwe kweli sio majaribio..mana tunataka tufanye kazi kweli kweli...

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wew unaishi Masasi ipi ambayo umeme haujakatika leo? Isije kua unaishi Ikulu kwa mkapa ndo useme umeme haujakatika infact ikulu kwa mkapa na maeneo around na mission na masasi girls umeme hua haukatiki, lakini maeneo mengine yote umeme umekatika leo km kawaida isipokua tu leo haujakatikakatika sana km cku nyingne. Tembelea nangaya zilipo mashine za tanesco ushuhudie umeme unavokatika
 
Hahaaa..na naskia mh.BWM tayari yupo masasi..ila umeme wa masasi umekua kero aseee..yani unakatika utadhani mtoto anacheza switch ya umeme..ile ni too much aseee..mpka najiuliza mara mbili mbili kuwekeza masasi kwa umeme wa aina hii.
Wew unaishi Masasi ipi ambayo umeme haujakatika leo? Isije kua unaishi Ikulu kwa mkapa ndo useme umeme haujakatika infact ikulu kwa mkapa na maeneo around na mission na masasi girls umeme hua haukatiki, lakini maeneo mengine yote umeme umekatika leo km kawaida isipokua tu leo haujakatikakatika sana km cku nyingne. Tembelea nangaya zilipo mashine za tanesco ushuhudie umeme unavokatika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hongera Magufuli
shulembuyuuuuu.jpg
shule-za-kata.jpg
 
Grid ya taifa Masasi imefika kupitia wapi? Naomba kuelimishwa hapa...
Huo ni uongo MTAKATIFU Kuanzia ijumaa ya tar 20/12/2019 mpaka Leo tar 22/12/2019 mtaa wa machinjioni hakuna umeme na grid ya taifa haijafoka Masasi labda Masasi Mtaa wa Ilala
 
Sio kwel hakuna umem was grid kutoka songea kuja masas hata tunduru bado naomba uthitishe kwa kuweka picha sub station kv 132 .umeme bado inatoka Mtwara walichokifanya Tanesco kudisconnect line ya kwenda Lindi hivyo ,Lindi wanapokea umem kutoka feeder ya somanga fungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Songea grid ya taifa ilifika lini..?? Kiongozi hata kama unataka kutydanganya, danganya vilivyojificha kidogo... ina maana, yale majenereta yaliyopo kule kiburang'oma kuelekea Londoni yamezimwa..!?? Ukumbuke yale yalitoka Mtwara baada ya Mtwara kuwa na zile gensets tisa za gesi... EMBU NIELEWESHE, SONGEA WALIPATA LINI GRID YA TAIFA NA IMEPITIA WAPI KWENDA SONGEA...
 
Songea grid imewashwa mwaka jana around September hivi, hata mkulu alivyoenda mwaka huu kwenye ziara yake ndiyo alizindua rasmi. Imevutwa toka Makambaku si mchezo jombaa kuna sub station Njombe na Madaba. Ukiwa unatoka Songea kwenda Njombe utaona ile minguzo yao ya chuma along the road.
 
Back
Top Bottom