Tarehe 18 Mei 1985: Shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama Directorate K

Haya mambo ya signal na code mbona hatari sana
 
Tanga kulikuwa na mama mmoja alikuwa kichaa kwa zaidi ya miaka 30. Mimi nainukia namuona akiwa kichaa na historia yake alikuwa vizuri tu mwanzo na chanzo cha ukichaa wake mauzauza tu.. But mwishoni mwa mwaka 2019 akapona eti ndugu zake walikwenda kwa mganga gani sijui akapona..

Lkn taarifa nyengine inasema mama alikuwa tiss nguli muda wakustaafu umefika ikabidi itengenezwe skendo yakupona kwake..
Kila tukiunganisha doti za ukichaa wake huenda ni kweli alikuwa tiss maana kuna kipindi anaopotea haonekani (sijui alikuwa anapeleka report [emoji3]).
 
[emoji2][emoji2][emoji2] Dunia Ina mengi mkuu
 
Watu na vitengo vya kazi zao😄😄!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…