Tarehe 18 Mei 1985: Shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama Directorate K

Tarehe 18 Mei 1985: Shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama Directorate K

Karibu sana. Kuna moja naiandaa ya kuitwa operation paperclip. I hope tuwe na subira
Asante mkuu,kwa mara kwanza kutumia kifurushi changu bila kulalamika,nimeshindwa kwenda kanisani leo Jumapili ili niweze kusoma hili bandiko tamu,toka asubuhi ndo nimehitimisha muda huu kwa kusoma kila ukarasa na maoni yake,hongera kwa uandishi wako uliotukukuka na stori tamu Mungu akubariki,weekend yangu imeisha kwa faida
 
Back
Top Bottom