Tarehe 18 Mei 1985: Shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama Directorate K

Kama unataka hiki kitabu kuhusu hii story njoo PM. Kinaitwa "THE SPY AND THE TRAITOR"
 
Stone tangawizi alikua mropokoji nambali wani[emoji4]
 
Usaliti ni kitu kibaya sana hasa tukiaminiwa na Ina damage mbaya usaliti ndio uliofanya USSR kuvunjika loh.
Changamoto watu Huwa ni wabishi sana
Kumbe ndo maana mwaka Jana gobachev alipofariki Putin hakuudhuria msiba,akasema gobachev azikwe TU Kama mbwa maana alikua msaliti wa USSR
 

Putin mpaka Sasa Ni mtu na nusu,
Nmeipenda Hii ya "the Russian public appreciated Putin’s coolness and decisiveness under pressure"
 
If God wish ndani ya wiki hii inaanza tutashusha Tena heavy load kwa ajili ya burdani[emoji1690][emoji1690][emoji1690][emoji3578][emoji3578]
Mkuu kimya sana tunasubiri, hii makitu nikiwa nasoma hata ije papuchi ya aina gani napotezea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…