Tarehe 18 Mei 1985: Shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama Directorate K

Huyu Mwananzengo kautelekeza uzi baada ya ahadi kedekede kuwa ukiisha huu analeta kigongo kingine.
 
FSB na mdhamini wao Putin hawana tofauti na wauaji wengine,yaani Marekani na washirika wake wanavyoua hakuna tofauti na Urusi na vibaraka wake,yaani ni ulimwengu wa maslahi na mauaji.hakuna nafuu.
 
FSB na mdhamini wao Putin hawana tofauti na wauaji wengine,yaani Marekani na washirika wake wanavyoua hakuna tofauti na Urusi na vibaraka wake,yaani ni ulimwengu wa maslahi na mauaji.hakuna nafuu.
Mzee wangu vipi. Mbona makasiriko. Haya mambo ya ujasusi ni fantasy tu usiyape uzito sana. Umemwandama sana putin.
 
Dah! Haka ka uzi leo nimekatembelea , sikutegemea kangefikisha viewers zaidi ya 280k. Hakika ni faraja kwa upande wangu, na nina imani sitawaangusha kwa ku wa tag kwa kadiri ya uwezo wangu wadau wote mliopita hapa kwenye huu uzi , kwenye thread zijazo nitakazoanzisha soon. NB: Nimekuwa kimya katika kupandisha thread kutokana na kuibiwa simu janja yangu na vibaka wakiwa kwenye pikipiki. Tokea hapo sijawahi nunua nyingine tofauti na hii kiswaswadu ya voda smat kitochi. hivyo najichanga tuvute subira wadau.
 
tunakungojea kwa hamu
 
Kwelo kei ni kei
 
Pole KWA maswahibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…