Asante mkuu,kwa mara kwanza kutumia kifurushi changu bila kulalamika,nimeshindwa kwenda kanisani leo Jumapili ili niweze kusoma hili bandiko tamu,toka asubuhi ndo nimehitimisha muda huu kwa kusoma kila ukarasa na maoni yake,hongera kwa uandishi wako uliotukukuka na stori tamu Mungu akubariki,weekend yangu imeisha kwa faida