Tarehe 18 nashangilia Lesotho, nione jinsi ya kutapika hela!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Naomba niweke wazi yaliyojaza moyo wangu!
SIKUFURAHISHWA na Kauli za Mkulu ,sipo alipoongea na wachezaji wa Timu ya Taifa!Kwangu zile zilikuwa ni kauli za kukatisha tamaa!
Kwa hatua hiyo mimi na wenzangu wapenda demokrasia tutashangilia Lethoto ili tupigwe hadi tuone wachezaji wetu wakitapika 50M!
SOKA NI SAYANSI, SI VITISHO!
Go,go Lethoto
 
Rudi Milembe mkuuu jalada lako halijafungwa.
 
Kwahyo Kati Ya Maneno Aliyoongea Mkuu Umepatamo Hayo Ya Kutapika Million 50 Ila Mengine Yakuitia Timu Yetu Hamasa Hujayaona
Ama Kwl Bongo Wachawi Wa Maendeleo Wamekithiri
 
mkuu sikuona maneno ya kutia moyo pale zaidi ya vitisho! kule si kutia moyo ....lingine ninalo kumbuka alimwambia Karia ....naona unanenepeana tu!
 
Naomba niweke wazi yaliyojaza moyo wangu!
SIKUFURAHISHWA na Kauli za Mkulu ,sipo alipoongea na wachezaji wa Timu ya Taifa!Kwangu zile zilikuwa ni kauli za kukatisha tamaa!
Kwa hatua hiyo mimi na wenzangu wapenda demokrasia tutashangilia Lethoto ili tupigwe hadi tuone wachezaji wetu wakitapika 50M!
SOKA NI SAYANSI, SI VITISHO!
Go,go Lethoto
LILE JAMAA NI BURE KABISA ,KWANZA SIKU LILIIPIGA TIMU MKOSI NA SAFARI YA KAMERUNI ILIGEUKA SAFARI YA SINZA KWA REMY
 
Mimi nakerwa na michango tu sirikali inanyonya walipa kodi wakati kila wizara imetengewa bajeti.
 
Samagoals
IMG_20181101_081205.jpg
 
Ningekua rais ukishabikia lesotho utafute uraia huko huko pumba.vu kabisa
 
Naomba niweke wazi yaliyojaza moyo wangu!
SIKUFURAHISHWA na Kauli za Mkulu ,sipo alipoongea na wachezaji wa Timu ya Taifa!Kwangu zile zilikuwa ni kauli za kukatisha tamaa!
Kwa hatua hiyo mimi na wenzangu wapenda demokrasia tutashangilia Lethoto ili tupigwe hadi tuone wachezaji wetu wakitapika 50M!
SOKA NI SAYANSI, SI VITISHO!
Go,go Lethoto

Tutaanza kukufuatilia kuhusu uraia wako...tehtehtehtehtehtehteh
 
Yametimia....!
Niliandika haya kuonesha kutofurahishwa na kauli walizopewa wachezaji na mkulu!
mzazi au mlezi anatakiwa kuwapa moyo watoto pale anapohitajii kuona wakifanikiwa.Kama watoto wako ni Slow learner hutakiwi kuwasimanga unapowapa mahitaji yao ya shule !
facial expression ya wachezaji siku ile ilionesha kukata tamaa!
Na ukikutana na watu jeuri...wanaojitambua ...watakujaribu! Kama mbwai na iwe mbwai!
 
Back
Top Bottom