sana ...tena kauli za kukera zinaniwashwa haswa!Unawashwa washwa
Rudi Milembe mkuuu jalada lako halijafungwa.Naomba niweke wazi yaliyojaza moyo wangu!
SIKUFURAHISHWA na Kauli za Mkulu ,sipo alipoongea na wachezaji wa Timu ya Taifa!Kwangu zile zilikuwa ni kauli za kukatisha tamaa!
Kwa hatua hiyo mimi na wenzangu wapenda demokrasia tutashangilia Lethoto ili tupigwe hadi tuone wachezaji wetu wakitapika 50M!
SOKA NI SAYANSI, SI VITISHO!
Go,go Lethoto
mkuu sikuona maneno ya kutia moyo pale zaidi ya vitisho! kule si kutia moyo ....lingine ninalo kumbuka alimwambia Karia ....naona unanenepeana tu!Kwahyo Kati Ya Maneno Aliyoongea Mkuu Umepatamo Hayo Ya Kutapika Million 50 Ila Mengine Yakuitia Timu Yetu Hamasa Hujayaona
Ama Kwl Bongo Wachawi Wa Maendeleo Wamekithiri
LILE JAMAA NI BURE KABISA ,KWANZA SIKU LILIIPIGA TIMU MKOSI NA SAFARI YA KAMERUNI ILIGEUKA SAFARI YA SINZA KWA REMYNaomba niweke wazi yaliyojaza moyo wangu!
SIKUFURAHISHWA na Kauli za Mkulu ,sipo alipoongea na wachezaji wa Timu ya Taifa!Kwangu zile zilikuwa ni kauli za kukatisha tamaa!
Kwa hatua hiyo mimi na wenzangu wapenda demokrasia tutashangilia Lethoto ili tupigwe hadi tuone wachezaji wetu wakitapika 50M!
SOKA NI SAYANSI, SI VITISHO!
Go,go Lethoto
Aaaah. Aaaah. Aaaah. Mkuu Nimekuona kule Ktk Uzi wa jamaa aliomuanzishia Samatta.... Huna maneno mengiWhichcraft is real
hawa jamaa wote wana roho moja ya chuki kwa taifa laoAaaah. Aaaah. Aaaah. Mkuu Nimekuona kule Ktk Uzi wa jamaa aliomuanzishia Samatta.... Huna maneno mengi
Tutashangilia LesothoLILE JAMAA NI BURE KABISA ,KWANZA SIKU LILIIPIGA TIMU MKOSI NA SAFARI YA KAMERUNI ILIGEUKA SAFARI YA SINZA KWA REMY
Naomba niweke wazi yaliyojaza moyo wangu!