Nyamesocho
JF-Expert Member
- May 5, 2023
- 487
- 1,287
Huu ndo mchezo unaosubiriwa kwa hamu zaidi kwani utakuwa mchezo wa mwisho kwa Simba na Wydad kuamua kusonga mbele ama lah!
Siku hii kwa namna yoyote ile Simba lazima ishinde ili kuwa na matumaini ya kusonga mbele ikishindwa itakuwa ndo mwisho wa mashindano haya msimu huu
Mechi itapigwa saa 10 jioni tunaomba like kuwa kali na joto ili hawa watu waje kupelekwa moto au ikiwezekana mechi ipangwe saa 9 alasiri
Robo fainali ile paleee