Tarehe 19 December Simba vs Wydad hiyo itakuwa kama fainali, Simba ukipoteza tu kwa heri

Tarehe 19 December Simba vs Wydad hiyo itakuwa kama fainali, Simba ukipoteza tu kwa heri

Nyamesocho

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2023
Posts
487
Reaction score
1,287
Huu ndo mchezo unaosubiriwa kwa hamu zaidi kwani utakuwa mchezo wa mwisho kwa Simba na Wydad kuamua kusonga mbele ama lah!

Siku hii kwa namna yoyote ile Simba lazima ishinde ili kuwa na matumaini ya kusonga mbele ikishindwa itakuwa ndo mwisho wa mashindano haya msimu huu

Mechi itapigwa saa 10 jioni tunaomba like kuwa kali na joto ili hawa watu waje kupelekwa moto au ikiwezekana mechi ipangwe saa 9 alasiri

Robo fainali ile paleee
 
Ingekuwa Simba ile ya miaka mi3 iliyopita ningekuwa na matumanini but Simba hii ya Seidooo... Hamna kitu.
 
Back
Top Bottom