Tarehe 19 February ni Birthday ya Meneja bora wa Kampeni za Mgombea Urais Barani Afrika , Amani Golugwa

Tarehe 19 February ni Birthday ya Meneja bora wa Kampeni za Mgombea Urais Barani Afrika , Amani Golugwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Happy Birthday Mpiganaji wetu @amani.sg Katibu wa Kanda ya Kaskazini. ( 682 X 640 ).jpg


Binafsi namtakia kila la heri na namuomba Mwenyezi Mungu ampe Maisha marefu .

Huyu mtu mambo aliyoyatenda kwenye ule ulioitwa uchaguzi mkuu wa octoba 2020 nchini Tanzania yatakumbukwa Daima
 
Huyuhuyu alieambulia kiti 1 cha ubunge na mgombea wake kupata chini ya 20% ndio bora?

Hivi alifikiri kampeni ni kwa mgombea kupanda mwendo kasi na kwenda kununua nyanya kariakoo?
Hadi vichaa wanakushangaa !!
 
Hivi Chadema bado ipo kweli ama imejigeuza na kua Saccos mpaka 2025 ndo ijigeuze tena na kuitwa chama cha siasa?
 
Happy birthday kamanda hakika ulipanga vizuri majukumu yako ya kampeni ila yaliyotokea ni majaaliwa.
 
Heri ya siku yake ya kuzaliwa. Yes alionyesha uwezo wake ambao wengi hatuku ujua.
 
Back
Top Bottom