Tarehe 19 February ni Birthday ya Meneja bora wa Kampeni za Mgombea Urais Barani Afrika , Amani Golugwa

Huyuhuyu alieambulia kiti 1 cha ubunge na mgombea wake kupata chini ya 20% ndio bora?

Hivi alifikiri kampeni ni kwa mgombea kupanda mwendo kasi na kwenda kununua nyanya kariakoo?
Hadi vichaa wanakushangaa !!
 
Hivi Chadema bado ipo kweli ama imejigeuza na kua Saccos mpaka 2025 ndo ijigeuze tena na kuitwa chama cha siasa?
 
Happy birthday kamanda hakika ulipanga vizuri majukumu yako ya kampeni ila yaliyotokea ni majaaliwa.
 
Heri ya siku yake ya kuzaliwa. Yes alionyesha uwezo wake ambao wengi hatuku ujua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…