Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,955
Hawa nguruwe acha tu watumbuaneHabari wakuu!
Hii ni forecast yangu tu, ninavyozijua siasa za Tanzania tarehe ambayo tunatangaziwa na mitandao ya simu kuwa watazima line ambazo hazijasajiliwa kwa alama za vidole tukio litabadilishwa kutoka kufungia line mpaka kutumbuliwa mtu.
Usizime bufa yako tarehe tajawa.
Wewe subiri utaona kitakachotokeaTusubiri tuone.
Tusubiri tuone.
Toa hela upate cheti-----ni ndani ya dakika sifuri habari kwisha hata kama ni mkimbizi Wa kigoma----Wameshaweka njia Mbadala ya Vyeti vya kuzaliwa? kwa sisi Wengine kuapata cheti cha kuzaliwa ni inshu
Najua kwa Uzi huu atajua nampangia au naweka ushawishi. But atafanya kama nilivyotabiri pale juu
Habari wakuu!
Hii ni forecast yangu tu, ninavyozijua siasa za Tanzania tarehe ambayo tunatangaziwa na mitandao ya simu kuwa watazima line ambazo hazijasajiliwa kwa alama za vidole tukio litabadilishwa kutoka kufungia line mpaka kutumbuliwa mtu.
Mimi sijui.Na akitumbuliwa mtu makamba ndie anakabidhiwa mikoba
Waje waniombe radhi ili niufute mzee baba hajausoma