nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,787
Zile tafiti zinasomega Tanzania ni mojawapo ya nchi ambayo wananchi wake hawana furaha ni za kweli kabisa, hata hizi sikukuu zime reflect ukweli,umaskini umeongezeka kwa kiasi kikubwa katika awamu ya tanao
Watu wamekata tamaa,hela hakuna, ubabe wa wenye mamlaka hausimuliku, Rais wa nchi ana majibu ya kejeli yanayokatisha tamaa haswa anapoambiwa ukweli wa hali halisi ndiyo maana wanaofaidika naye walishamsoma na kuamua kumsifia kwamba kazi anayofanya haijapata kutokea kumbe wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa
Raia wana masononeko makubwa siku hizi hata kick za kupandisha suruali kuvuka maji huko Rubondo au kumpigia simu diamond katikati ya show ya bure iliyofadhiliwa na ccm tena show ya kutumia CD bado raia hawazipi umuhimu kama miaka miwili iliyopita ambapo wengi walikuwa na matumaini naye kabla ya kugundua hata kile kidogo walichokuwa nacho wanakipoteza
Waziri mpango keshasema mabeberu yamegoma kutoa hela hivyo vyanzo vya kodi viendelee kutafutwa. LIRATAJIWE BALAA KUBWA HAPO
BALAA LA PILI NI KUFUNGWA KWA LAINI ZA SIMU tarehe 21 mwezi huu,laini siyo chini ya MILIONI 10 zitafungwa hapo kuna vijana watapoteza ajira wengi sana,wale wa kwenye vimwavuli m pesa tigo pesa,wenye maduka ya mpesa n.k,hali ya kwenda benki kupanga foleni itarudi,movemnet ya kutumiana hela itakuw angumu na only God knows hata wageni wakiingia bongo sijui wanapataje hizo laini
Kwa kifupi HONGERENI AWAMU YA TANO KWA KU WA STRESS WATANZANIA, haijapata kutokea ila MKAE MKIJUA HALI ILIYOPO NI MBAYA TAYARI NA BADO MNAONGEZA MSONGO WA MAWAZO KWA HATA VI AJIRA VYA KUUZA VOCHA WALIVYONAVYO MNAENDA KUVIPOTEZA TAREHE 21,SHAME ON YOU NA CROOKED N.ID.A
Ipo siku haya makondoo mnayoyadharau yatachoka kuburuzwa maana mnayatia vidole vya macho hadi kwenye makalio sasa