Tarehe 23 Januari 2025 baada ya ushindi wa Lissu itakuwaje

Fundi Mchundo

Platinum Member
Joined
Nov 9, 2007
Posts
10,448
Reaction score
8,705
1. Lissu na Heche watapokea barua na salamu za pongezi kutoka kila upande.

2.Wale ambao wako kimya mpaka sasa watatangaza kuwa walikuwa upande wake siku zote.

3. Sehemu kubwa ya sekretariati itajiuzulu ili kumisha Mwenyekiti ateue timu yake.

4. Vitaanza vilio vya kutaka watu kama Wenje, Ntobi na Yericko washughulikiwe. Mwenyekiti atakubali na utaanza mpango wa kuorodhesha wale wote ambao waliwasema kwa namna moja au nyingine.

5. Watasisitiza kuwa hawataingia kwenye uchaguzi bila Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya. CCM watawapotezea.

6. Watatangaza maandamano ya kushinikiza Katiba Mpya na taarifa juu ya waliopotea. Serikali itatangaza mazoezi ya jeshi siku hiyo na Polisi watasema kuwa hayana baraka zao na atakaejitoleza wasilaumiwe kwa yatakayomkuta.

7. Siku ya maandamano Mwenyekiti emeritus na watu wake watajitokeza. Timu mpya itazuiwa ikiwa nyumbani na hivyo kuwa sababisha kushindwa kuhudhuria. Sijui wananchi wangapi watajitokeza.

8. Watagundua kuwa hata wasiposhiriki uchaguzi utafanyika. Watu wataanza kudai kuwa lazima washiriki kwa sababu wana hakika 100% kuwa watashinda.

9. Wataanza kujiandaa kwa ajili ya uchaguzi Mkuu. Watajikuta na wakati mgumu kwa sababu kila aliyejitangaza kuwa anamuunga mkono Lissu atataka azawadiwe. Watu wataanza kulalamika kuhusu upendeleo na rushwa.

10. Matawi yataambiwa kuwa hela hazitoshi kwa hiyo wajitahidi kugharamia shughuli zao wenyewe.

11. Baadhi yao watamkumbuka Mwamba. Of course, tupo tukaowaambia kuwa tuliwaonya hamkusikiliza.

12. Watashindwa vibaya uchaguzi wa 2025, kuanzia urais hadi udiwani. ACT Wazalendo kitapata wabunge wengi tu na mgombea wao Zitto atapata 20% ya kura zote.

13. Ruzuku itayeyuka, michango ya diaspora itayeyuka. Mwenyekiti atalaamu mamluki wa Mbowe na Samia na ataanza kutumia muda mwingi Belgium. Lema atahamia rasmi Canada na kuwa active kwenye social media.

14. Heche atabakia peke yake akijaribu kuhakikisha chama kina survive hadi 2030.

Hizi ni speculations tu. Inawezekana kabisa mambo yakawa tofauti.

Amandla
 
Team Mwenyechair mmeanza ku Give Up

Mbowe anashindwa Lissu anarejea Belgium & Lema anatimkia Canada.
 
Team Mwenyechair mmeanza ku Give Up
Hakuna aliye give up. Ni muhimu kuangalia scenarios zote. Mimi namuona Lissu kuwa ni hatari kwa mustakabali wa CDM lakini nadhani akishindwa hatasita kuwahimiza watu wake wafanye fujo kwa sababu ameibiwa uchaguzi. Watu wake watamuamini hata kama hatatoa ushahidi wowote.

Mbowe akishindwa, atakubali matokeo na kuhimiza wanaomuunga mkono nao wayakubali na wasifanye fujo.

Amandla...
 
Mbowe atawafurahisha... Anawaangalia tu na yale macho yake ya kimkakati... Atawapiga mafataki ya kende hamtaamini... Ukumbi mzima utaimba mbowe tubebee mbowe tubebee hadi lisu na lema watapiga makofi...
Nimekaa pale nawasubiri mnavyopoteana
 
Back
Top Bottom