Tarehe 23 ya NSSF inavyonipa presha na kuniweka roho juu. Niombeeni please!

Tarehe 23 ya NSSF inavyonipa presha na kuniweka roho juu. Niombeeni please!

Jumamosi tarehe 24 natakiwa nisafiri niende MOROGORO / TURIANI kumalizia msiba wa mzazi wangu. Then bado kuna vitu havijakaa sawa. Then sina kazi kwa sasa. Sasa, baada ya kufuatilia mafao yangu ya NSSF (Fao la kutokuwa na ajira kwasasa) tarehe ambayo NSSF walinipangia kwamba nitakuwa nimepata pesa zangu ni tarehe 23, yaani siku tatu tu zimebaki. Na tegemeo langu lote lipo kwenye hiyo hela ya NSSF.

Kwenye app ya NSSF tangu wiki iliyopita nikiangalia Salio kwasasa unasoma ZERO, wakati hapo awali pesa ilikuwa inasoma. Na nikiangalia michango yangu nayo tangu wiki iliyopita itaonyesha ZERO ZERO, (No data available) ila pesa nikiangalia kwenye bank NMB hakuna pesa.

Wakuu, hapa naiwaza hiyo tarehe 23 siku tatu kutoka leo, je hiyo hela itaingia? Maana nimeshafuatiria sana. Mara jina lilikuwa na herufi tofauti, mara tarehe ya kuzaliwa zilipishana, nilifuatilia na kukamilisha vyote hivyo.

Maombi yenu waku, maana hiyo tarehe wasiponiwekea hiyo hela aisee aisee aisee sipati picha.
Mkuu Leo ni tarehe 21/09/2024 Ulishalipwa mbona kimya.
 
Mm walinambiaga ndan ya mwez mmoja...lakni wiki tu mzgo ulisoma,,wanajitaid sku iz...kama kwenye app yao mzgo uuoni basi madai confirm.
 
Mm walinambiaga ndan ya mwez mmoja...lakni wiki tu mzgo ulisoma,,wanajitaid sku iz...kama kwenye app yao mzgo uuoni basi madai confirm.
PSSSF ni wasanii sana. Eti mhasibu akiondoka mwezi hulipwi. Kwani imekua kama dukani kwa mangi?
 
Ukiona hivyo mzigo chungulia baada ya masaa 24,ngomaa inasoma,case close.unapata hiyo pesaa kabla ya hiyo tarehe angalia kesho jioni....nilivyo kutia moyo ikiingia nitumie 10000 ya konyagi kubwa.amini transaction ishafanyika
Alituma?
 
Oyaaaa ulilipwa on time? Au pesa iliisha ukauza na simu?
 
Back
Top Bottom