Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Wakati watu wakiwa na shauku ya kufuatilia kesi ya uhaini inayomkubali Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini(DPP) anaweza kuja na uamuzi wa kutoendelea na kesi ya uhaini kwa mshangao wa wengi na hata zile kesi nyingine zinazomkabili Lissu zinazohusu makosa ya mitandaoni nazo zinaweza kufutwa.
Ajabu na kinachoweza kuwapa kigugumizi, ni kesi nzito kama hiyo halafu kufutwa kwa haraka namna hiyo. Watajiuliza: Umma utatuchukuliaje?
All in all, hawana namna zaidi ya kufuta hii kesi.
Madhara ya kuendelea na hii kesi, ni makubwa kuliko kuifuta, hivyo wataifuta tu.
Muda utaongea, hata kama sio hiyo tarehe 24/04/2025, ila ni hivi karibuni.