playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
Tulipoona tangazo la PRESS ya leo ya YANGA tulijua majibu ya Morrison ndo yamerudi kumbe wanatangaza ujio wa HAJI MANARA swali ni je WHY MANARA ATANGAZWE katika tarehe ambayo tulitarajia watupe matokeo ya CAS?
Kuna watu wanachezewa akili hapa..nadhani leo ilipaswa tuambiwe juu ya MORRISON..kwa hili la leo nahisi MORRISON KASHINDA KESI.
Kuna watu wanachezewa akili hapa..nadhani leo ilipaswa tuambiwe juu ya MORRISON..kwa hili la leo nahisi MORRISON KASHINDA KESI.