JPM aliomba Mabeberu waiondolee Zimbabwe vikwazo vya uchumi, nazani kwa lengo la kutaka vikwazo hivyo vya uchumi viletwe Tz.Kusali bila kuchukua hatua hakusaidii kitu, sala pamoja na kushughulika wenyewe kulibond kichwa joka.
JPM aliomba Mabeberu waiondolee Zimbabwe vikwazo vya uchumi, nazani kwa lengo la kutaka vikwazo hivyo vya uchumi viletwe Tz.
Hao wanajua kupiga pushups ili kukomaza vifundo vya vidole tuKiller, Una mwandiko mbovu mpaka unaboa!
Wewe jamaa nimekupenda mawazo yako tu. Una IQ ya maana sanaJPM aliomba Mabeberu waiondolee Zimbabwe vikwazo vya uchumi, nazani kwa lengo la kutaka vikwazo hivyo vya uchumi viletwe Tz.
Siku vikija ndiyo utavijua. Hata Burundi utaiona mbingu. Nimefika Zimbabwe, hakuna kinachoenda. Chochote unachokifikiria hakitakuwa na maana. Wala usiombee. Hata ambao hawajawahi kwenda mkoa mwingine, watatafuta nchi ya kwenda.Hahahah dah! Kwahio hawa jamaa wanakuja Bongo?? Vikwazo vinafannanaje?
Usilinganishe Zanzibar na Tanganyika. Huwezi kuiwekea vikwazo Zanzibar vikafanya kazi bila ya kuiwekea vikwazo Tanganyika. Hakuna mwenye akili anayeweza kufikiria kuiadhibu Zanzibar bila ya Tanganyika.Kususia uchaguzi nako ni K NA CCM ilivyo uchaguzi utafanyika na hakuna kitakachotokea kwani ZENJI ilikuwaje? Mbona mpk Leo kimya?
unafiki na mapandikiz ndani ya vyma vya siasa ni kiza kinauyesa democrasia yetu na kwa hali ilivyo na utawala huu nibora kusali kuliko malumbano...Kusali bila kuchukua hatua hakusaidii kitu, sala pamoja na kushughulika wenyewe kulibond kichwa joka.
Haya yanayo tokea sasa mwenzetu huyaoni?Unataka mpaka kitokee nini ndo uone?Mnapoteza muda wenu. Iq ya magufuli ni sawa na wa zungu 1000 relax hakuna kitakachotokea
African way, we solve everything with prayers [emoji22][emoji22][emoji22]Kusali bila kuchukua hatua hakusaidii kitu, sala pamoja na kushughulika wenyewe kulibond kichwa joka.
Umenena vyema!Usilinganishe Zanzibar na Tanganyika. Huwezi kuiwekea vikwazo Zanzibar vikafanya kazi bila ya kuiwekea vikwazo Tanganyika. Hakuna mwenye akili anayeweza kufikiria kuiadhibu Zanzibar bila ya Tanganyika.
Kamba hukatikia pembamba.
Tukikosea kidogo tu, Tanganyika itabeba mpaka adhabu ya Zanzibar.
Kwanini ccm wanang'ang'ania madaraka?Siku vikija ndiyo utavijua. Hata Burundi utaiona mbingu. Nimefika Zimbabwe, hakuna kinachoenda. Chochote unachokifikiria hakitakuwa na maana. Wala usiombee. Hata ambao hawajawahi kwenda mkoa mwingine, watatafuta nchi ya kwenda.