Tarehe 24 Novemba, 2019 kiza ni kinene na dunia masikio yapo Tanzania

Kisa hakutakuwa na wachoma mishikaki na wapiga polishi? ?
Tutakula karanga na matunda na kwa mama ntilie
 
Hii mentality ya watu kukaa nyumbani wakitegemea mabeberu ndo wawafanyie mabadiliko ni ya kishamba mno.

Bolivia wamehitimisha utawala wa mtu kwa kumdindia wenyewe for weeks kama ilivyokuwa Sudan tu.
Hahaha hapa Tumainiel anatuhamasisha tusali kwa bidii 😂😂😂
 
Acha kukidanganya mzee hicho unachotamani kitoe utangoja sana,mara ngapi jumuiya hizo zimekua zikitoa matamko ya kulaani na kutaka serikali zifanye moja 2 lkn bado wanaendelea kutoa misaada na mikopo.hisani ya watu wa marekani
 
Mtayona ya Zanzibar maumivu aliyonayo Shein anajikaza tu kuepuka aibu lakini mambo hayaendi kabisa.
 
Mnapoteza muda wenu. Iq ya magufuli ni sawa na wa zungu 1000 relax hakuna kitakachotokea
ilibidi Kwanza niangalie Avatar yako ndo ni comment, yaani wewe una appearance ya kiuaji na inaonekana mikono yako imetapakaa Damu za watu,wewe ni muuaji katili usiyejitambua, hicho kimshahara unacholipwa ili kuua wapinzani kimekufanya uone Dunia yote umeimaliza, yaani Rais mbumbumbu kuliko wote anayeitumbukiza nchi shimoni Eti kwako ana IQ?
Na kina Mkapa tusemeje?
Shame on you!
 
Uchaguzi utafanyika vizuri tuu na hakuna kitakacho tokea sema tuu goli la mkono liko pale pale
 
Siku vikija ndiyo utavijua. Hata Burundi utaiona mbingu. Nimefika Zimbabwe, hakuna kinachoenda. Chochote unachokifikiria hakitakuwa na maana. Wala usiombee. Hata ambao hawajawahi kwenda mkoa mwingine, watatafuta nchi ya kwenda.
Mkuu huyo mbumbumbu hawezi kukuelewa, yeye akila na kushiba basi anamwona Magufuli kama mungu, eti ana IQ zaidi ya wazungu 1,000 nadhani alimaanisha zaidi ya wajinga 1,000.
 
JPM aliomba Mabeberu waiondolee Zimbabwe vikwazo vya uchumi, nazani kwa lengo la kutaka vikwazo hivyo vya uchumi viletwe Tz.
Duh hiyo hatari sana! Na wa jalalani anazunguka huku na kule kutangaza nia hiyo bila kujua.
Inawezekana Mahiga aliondolewa pale kwa kutopeleka nje maagizo aliyokuwa anapewa.
Profesa wa jalalani hajui kupima kitu kwa kuogopa kurudi jalalani.
 
Kha!! Sauli kawa Paulo.
 
Kwanini ccm wanang'ang'ania madaraka?
Why wasiwaache na wengine wakajaribu?

Ccm inatumika tu, ila kuna kikundi cha viongozi wandamizi wakishirikiana na viongozi wa vyombo vya dola waliopo na waliostaafu, walipata mali kwa njia chafu, sasa wanaogopa ccm ikitoka madarakani na kuingia wengine hayo mambo yatawekwa wazi. Hivyo wameamua bora iwe mbaya kuliko kuachia madaraka kwa amani.
 
Huu ujumbe umenibariki sana na yamfaa magu ausome.japo kua ameumbwa na roho ya uharibifu so hatakuelewa.wenye hekima wamshauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…