Tarehe 24 Novemba, 2019 kiza ni kinene na dunia masikio yapo Tanzania

Propoganda za upinzani HEWA katika nchi yetu unatia huruma kwa watu makini. Saivi mnatengeneza gape kubwa kati yenu(viongozi wakubwa) na wafuasi wa upinzani huku chini. JIPANGENI, MSIROPOKE ROPOKE TU VITU.....!
 
Duh hiyo hatari sana! Na wa jalalani anazunguka huku na kule kutangaza nia hiyo bila kujua.
Inawezekana Mahiga aliondolewa pale kwa kutopeleka nje maagizo aliyokuwa anapewa.
Profesa wa jalalani hajui kupima kitu kwa kuogopa kurudi jalalani.
Mzee Mahiga anajielewa sana.
 
Mkuu ,Kusali kwa ajili ya Bomu unalolitengeneza mwenyewe na kulitega ni Ujinga tena wa kiwango cha juu kabisa.

Hilo bomu halitengenezwi na raia bali kipindi kidogo cha watu wenye hofu iliyopitiliza. Watu ambao wapo tayari kumwaga damu kutokana tu na hofu kuwa wao binafsi hawako salama. Raia nao hawaamini katika kumwaga damu.
 
Mnapoteza muda wenu. Iq ya magufuli ni sawa na wa zungu 1000 relax hakuna kitakachotokea
Msiba huu ka! Unamfananisha huyu mwehu mdindifu na wazungu? Kama ni sifa zinavuka mpaka ndo maana anazidi kuvimba kichwa kwa sababu yenu nyie wasifiaji wa hovyo huku akizidi kuharibu.
 
Wacha hyo miaka5 ya joto la jiwe ije ili tuwe wamoja sasaiv harakati za demokrasia na Uhuru wa habari simwaachia vyama vya upinzani mkijua nyie mpo Salama
 
JPM aliomba Mabeberu waiondolee Zimbabwe vikwazo vya uchumi, nazani kwa lengo la kutaka vikwazo hivyo vya uchumi viletwe Tz.

Vikwazo vya kiuchumi ni janga kubwa sana; tusiombe kufika huko. Kwa wanaofahamu juzi tu Zimbabwe ilikuwa nchi nzuri sana kiuchumi na kijamii ikiongoza Africa kwa kiwango cha elimu na huduma za kijamii. Leo hii imekuwa basket case! Sijui kama viongozi wetu wanajua Zimbabwe ilivyokuwa huko nyuma. Nadhani wengine hawajui kwa sababu pengine hawakuwa na uwezo wala kwenye nafasi ya kufuatilia.
 
Mkuu TumainiEl mbona siku hizi uko against system

Vipi uko nje ya system siku hizi[emoji44]
 
Hii mentality ya watu kukaa nyumbani wakitegemea mabeberu ndo wawafanyie mabadiliko ni ya kishamba mno.

Bolivia wamehitimisha utawala wa mtu kwa kumdindia wenyewe for weeks kama ilivyokuwa Sudan tu.

How long did it take Sudanese to say enough is enough? Three decades? Isitoshe haya ni mambo mageni sana kwa Watanzania. Mwasisi wa taifà hili alikuwa mtakatifu na ilijengeka imani kuwa mtu mtakatifu ndiye anapata uongozi.
 
Subiri uone. Uchaguzi utafanyika kwa amani na utulivu zaidi ya unavyotarajia.
 
Umejaaliwa kua na hekima sana ndugu,muombe Mungu akuzidishie kwa manufaa ya wengi.
 
Siku vikija ndiyo utavijua. Hata Burundi utaiona mbingu. Nimefika Zimbabwe, hakuna kinachoenda. Chochote unachokifikiria hakitakuwa na maana. Wala usiombee. Hata ambao hawajawahi kwenda mkoa mwingine, watatafuta nchi ya kwenda.
Lol! naomba Mungu tusipite njia hiyo.Mungu atuondolee "tatizo" hili kwa njia za upole,amani nautulivu kabisa.
 
Mzee Mahiga anajielewa sana.

Mwaka 2015 wakati wana ccm wanatangaza nia ya kugombea urais mtu aliyenivutia kuliko wote ni Dk. Mahiga. Licha ya cv yake mazungumzo yake na vyombo vya habari yalionyesha picha ya mtu mwenye upeo mkubwa na anayejua nchi hii ilikotoka na changamoto zilizopo mbele yake. Alieleza kwa mfano jinsi umoja wa nchi hii ulivyojengwa kwenye mfumo wa chama kimoja na kupelekea amani na utulivu. Alibainisha umuhimu na changamoto ya kudumisha tunu hizi ndani ya mfumo wa vyama vingi vya siasa. Kwa maoni yangu kauli ile ilimaanisha kuwa mbinu zilizokuwa zimeanza kutumika awamu ya 4 na ambazo sasa zimeshamiri awamu ya 5 za kutumia vyombo vya dola kudhibiti vyama vya siasa na viongozi wake ni potofu. Kwambà changamoto za kisiasa hutafutiwa ufumbuzi kisiasa; siyo kwa mabavu ya vyombo vya dola. Hata alipokuwa Mambo ya Nje, pamoja na mazingira magumu angalau diplomasia yetu ilikuwa na mwelekeo; tofauti na sasa ambapo imejaa rhetoric, kujimwambafy na kujitetea kwingi.
 
Unaamini katika misaada kujikwamua?,AI kwa kufanya kazi kwa bidii?
Badilikeni
 
unafiki na mapandikiz ndani ya vyma vya siasa ni kiza kinauyesa democrasia yetu na kwa hali ilivyo na utawala huu nibora kusali kuliko malumbano...
Kusali bila kuchukua hatua zozote tutakesha hakuna kitakachotokea, Mungu mwenyewe anamskiliza yule anaesali na kufanya kwa matendo, huwezi ukasali kuomba Mungu akupe chakula wakati hata kazi hufanyi.
 

The 4th President of URT, Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, was an army officer, though during his reign (2005-2015), most Tanzanians would tend to take him lightly, and regarded his ruleship as that of a normal citzen, and not of an army officer. In striking events similar to the current 'UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2019, you woudl hear him uttering very simple short, clrear words... NI UPEPO, UTAPITA,.... and there is where I was always getting another chance of once again noting his strength as an army officer and not as only a President of the URT!

Sasa na huu ni upepo, utapita. SLOGAN tayari ilishaachwa na JK, hatuna haja ya ku-invent slogan nyingine!
 
Huyu Mzee sio mnafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…