Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
Tangu nimejitambua kama mtu mzima ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sikuwahi kwenda kupiga kura
Hii ni kutokana na kutopata ushawishi wa kisera kutoka kwa vibaka CCM na wale wapinzani wa kipindi kile
Ila ndani ya miaka hii 5 ya utawala dhalimu wa kidikteta wa John Magufuli, nimekoma na nimeona sina sababu ya kuacha kupiga kura kwa maana naamini kura yangu moja inaweza kuuondoa utawala dhalimu, utawala katili, utawala mbaya, utawala unaowaleta Watanzania umaskini, utawala unaowanyima Watanzania haki, uhuru na maendeleo ya kweli utawala wa CCM.
Baada ya kuja mbeba maono,mpenda haki,uhuru na maendeleo ambavyo ndio kiu ya Watanzania wengi basi nami nimeamua nimuunge mkono mbeba maono huyu kwa kumpigia kura ambayo naamini itabadilisha hali halisi ya Watanzania kutoka utumwa wa miaka zaidi ya 50 ya utawala wa CCM na kuingia katika utawala wa sheria, katiba mpya, haki, uhuru na maendeleo
Hivyo tarehe 28/10/2020 alfajiri nitasafiri umbali wa Kilometa 218 kwenda kumpigia kura ndugu Tundu Antiphas Mughwai Lissu
Watanzania tuikatae CCM tumkatae laghai, fisadi, mtoa rushwa, tumkatae dikteta uchwara John Magufuli ifikapo tarehe 28/10/2020
asubuhi na mapema.